Ingia / Jisajili

TAZAMA MUNGU

Mtunzi: Pius Peter Kabanya
> Mfahamu Zaidi Pius Peter Kabanya
> Tazama Nyimbo nyingine za Pius Peter Kabanya

Makundi Nyimbo: Zaburi | Mwanzo

Umepakiwa na: pius kabanya

Umepakuliwa mara 377 | Umetazamwa mara 1,166

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tazama Mungu ndiye anayenisaidia, Bwana ndiye anayeitegemeza nafsi yangu x2 1.Kwa ukunjufu wa moyo nitakutolea dhabihu, ee Bwana nitakushukuru jina lako maana ni jema. 2. Ee Mungu uyasikilize maombi yangu, uyasikilize maneno maneno ya kinywa changu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa