Ingia / Jisajili

EE BWANA YOTE ULIYOTUTENDEA

Mtunzi: Pius Peter Kabanya
> Mfahamu Zaidi Pius Peter Kabanya
> Tazama Nyimbo nyingine za Pius Peter Kabanya

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: pius kabanya

Umepakuliwa mara 515 | Umetazamwa mara 1,353

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana yote uliyotutendea umeyatenda kwa haki, kwa kuwa sisi tumetenda dhambi, wala hatukuzitii amri zako x2 1. Ulitukuze jina lako na kututendea sawasawa na wingi wa huruma zako, 2. Ee Bwana wewe unaonyesha enzi yako kuu hasa kwa kusamehe na kuhurumia.

Maoni - Toa Maoni

Alfred Jizwalo Maganga Sep 27, 2023
Safi sana ?????

Toa Maoni yako hapa