Ingia / Jisajili

Bwana atawabariki

Mtunzi: Pius Peter Kabanya
> Mfahamu Zaidi Pius Peter Kabanya
> Tazama Nyimbo nyingine za Pius Peter Kabanya

Makundi Nyimbo: Noeli | Ubatizo

Umepakiwa na: pius kabanya

Umepakuliwa mara 507 | Umetazamwa mara 1,567

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana atawabariki watu wake kwa amani, atawabariki watu wake kwa amanix2

1. Mpeni Bwana enyi wana wa Mungu, mpeni Bwana utukufu na nguvu

2.Mpeni Bwana utukufu wa jina lake, mwabuduni Bwana kw uzuri wa utakatifu.

3. Sauti ya Bwana i juu ya maji, Bwana juu ya maji mengi.

4. Sauti ya Bwana ina nguvu, sauti ya Bwana ina adhama.


Maoni - Toa Maoni

Mika Wihuba Jan 07, 2020
Hongera sana Mwl kwa wimbo mzuri!

Toa Maoni yako hapa