Ingia / Jisajili

EE BWANA MUNGU

Mtunzi: Pius Peter Kabanya
> Mfahamu Zaidi Pius Peter Kabanya
> Tazama Nyimbo nyingine za Pius Peter Kabanya

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwanzo

Umepakiwa na: pius kabanya

Umepakuliwa mara 440 | Umetazamwa mara 1,502

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana Mungu wetu utuokoe (utukusanye) kwa kututoa katika mataifa x2.

1.Tulishukuru jina lako takatifu, tuzifanyie shangwe sifa zako.

2. Na ahimidiwe Mungu mwenyezi wa Israeli tangu milele yote hata milele.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa