Ingia / Jisajili

Bwana amefufuka

Mtunzi: Pius Peter Kabanya
> Mfahamu Zaidi Pius Peter Kabanya
> Tazama Nyimbo nyingine za Pius Peter Kabanya

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: pius kabanya

Umepakuliwa mara 346 | Umetazamwa mara 1,518

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana amefufuka kweli kweli aleluya utukufu na ukuu unayeye hata milele x2 1.Yeye hatawaliwi na mauti kisha kufufuka na hafi tena. 2. Bwana amefufuka katika wafu limbuko lao waliolala mautini.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa