Ingia / Jisajili

JIWEKEENI HAZINA

Mtunzi: Pius Peter Kabanya
> Mfahamu Zaidi Pius Peter Kabanya
> Tazama Nyimbo nyingine za Pius Peter Kabanya

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: pius kabanya

Umepakuliwa mara 486 | Umetazamwa mara 1,852

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Jiwekeeni hazina yenu mbinguni, (ambako nondo ) ambako nondo na kutu hawawezi kuharibu (wala) wala wezi hawaingii wakaiba x2 (maana pale ilipo hazina yako ndipo) maana pale ilipo hazina yako (ndipo) ndipo pia utakapokuwa moyo wako. x2

1. Msijiwekee hazina yenu hapa duniani ambapo nondo na kutu huharibu.

2. Msijiwekee hazina yenu hapa duniani ambapo wezi huingia wakaiba.

3. Jicho lako ni taa ya mwili, kama jicho lako ni zima mwili wako wote utakuwa katika mwanga.

4. Lakini ikiwa jicho lako ni bovu mwili wako wote utakuwa katika giza, basi ikiwa mwanga uliomo ndani yako ni giza (ni giza) ni giza la kutisha mno.Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa