Ingia / Jisajili

Nchi imejaa

Mtunzi: Pius Peter Kabanya
> Mfahamu Zaidi Pius Peter Kabanya
> Tazama Nyimbo nyingine za Pius Peter Kabanya

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Pasaka | Zaburi

Umepakiwa na: pius kabanya

Umepakuliwa mara 521 | Umetazamwa mara 1,689

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nchi imejaa fadhili za Bwanax2 kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika aleluya aleluya aleluya. 1. Kwa kuwa neno la Bwana lina adili na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu. 2.Huzipenda haki huzipenda haki na hukumu nchi imejaa fadhili za Bwana. 3. Kwa neno la Bwana Mungu mbingu zilifanyika, na jeshi lake kwa pumzi ya kinywa chake. 4. Hukusanya maji maji ya bahari chungu na kuyaweka na kuyaweka vilindini katika ghala. 5. Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao watu aliowachagua kuwa urithi wake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa