Ingia / Jisajili

ASANTE BWANA

Mtunzi: Pius Peter Kabanya
> Mfahamu Zaidi Pius Peter Kabanya
> Tazama Nyimbo nyingine za Pius Peter Kabanya

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: pius kabanya

Umepakuliwa mara 374 | Umetazamwa mara 1,601

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Asante Bwana (Bwana) twakushukuru x2 Kwa mema yako uliyotujalia x2

1. Umetulisha mkate mkate wa mbinguni, chakula cha uzima wa rohozetu.

2.Umetunywesha divai divai ya mbinguni, kinywaji cha uzima wa roho zetu.

3. Hakika wewe Bwana unatupenda, upendo wako Bwana ni wa ajabu.

4. Hupendi hata mtu mmoja apotee, bali awe na uzima uzima wa milele.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa