Mtunzi: Thomas Andrea Malinga
> Mfahamu Zaidi Thomas Andrea Malinga
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas Andrea Malinga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas Malinga
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiTazama ilivyo vema, ndugu wakae pamoja, ndugu wakae pamoja, pamoja kwa umoja x2. Ni kama mafuta mazuri kichwani yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni. Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake x2.
MAIMBILIZI
1.) Kama umande wa Hermoni, ushukao Milimani mwa Sayuni.
2.) Maana ndiko Bwana alikoamuru, Baraka naam uzima hata milele.
3.) Atukuzwe Baba, Mwana naye Roho,kama mwanzo sasa na siku zote amina.