Mtunzi: Thomas Andrea Malinga
> Mfahamu Zaidi Thomas Andrea Malinga
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas Andrea Malinga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Thomas Malinga
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiMheshimu Bwana kwa mali yako na malimbuko ya mazao yako. Ndipo Ghala zako zitajazwa na vinu vinu vitafurika divai.
MAIMBILIZI
1.) Mwanangu yasiondoke haya machoni pako, shika sheria kamili na--busara.
2.) Utoe Ndama wanono madhabahuni kwa Bwana, utoe bila kinyongo utabarikiwa.
3.) He-ri mtu yule aona-ye hekima, na mtu yule apa-taye ufahamu.
4.) Kwa hikima Bwana aliweka misingi ya Nchi, kwa akili zake akazifanya mbi-ngu imara.