Mfahamu Thomas Andrea Malinga, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Dar es Salaam Parokia ya Vijibweni
Idadi ya nyimbo SMN: 4 > Zitazame
Jimbo analofanya utume: Dar es Salaam
Parokia anayofanya utume: Vijibweni
Namba ya simu: +255763597315
Soma Historia na maelezo yake hapaWasiliana na mtunzi kwa email:
Nimezaliwa kijijini Kilimamoja kata ya Rhotia, wilaya ya Karatu Mkoani Arusha. Tumwimbie Bwana katika Roho na Kweli, Amina.