Ingia / Jisajili

Karamu Yake Bwana Yesu

Mtunzi: Thomas Andrea Malinga
> Mfahamu Zaidi Thomas Andrea Malinga
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas Andrea Malinga

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Thomas Malinga

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Karamu yake Bwana Yesu Kristo imekwisha kuandaliwa, wenye moyo safi, tukampokee Bwana Yesu Kristo x2. Ni karamu ya upendo, karamu yaupatanisho, tuliyoachiwa, karamu ya uzima wa milele x2.

MAIMBILIZI

1.) Tujitakase kwa Sakramenti ya upatanisho, tujogee tupate kuurithi uzima wa milele.

2.) Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu, hukaa ndani yangu nami ndani yake siku zote.

3.) Fanyeni hivi fanyeni, kwakuni kumbuka mimi, ni maneno yake Bwana wetu Yesu Kristo Karamuni.

4.) Atukuzwe Mungu Baba atukuzwe naye Mungu Mwana, kama mwanzo sasa na siku zote na milele amina.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa