Ingia / Jisajili

Mungu Yu Katika Kao

Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

MUNGU YU KATIKA KAO

Mungu yu katika kao lake Takatifu, Mungu hukawalisha wapweke nyumbani, Yeye huwapa watu wake nguvu na uwezo x2

1. Baba wa yatima, na mwamuzi wa wajane, Mungu katika kao lake Takatifu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa