Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 12
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 7 Mwaka C
NAMI NMEZITUMAINIA
Nami nimezitumainia fadhili zako x2
Moyo wangu na uufurahie wokovu wako x2
1. Naam nimwimbie, Bwana, kwakuwa amenitendea, kwa ukarimu