Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 18 Mwaka C
EE BWANA
Ee Bwana, ulitupa sisi mkate toka mbinguni, chakula kitamu na chakupendeza, tamaa ya kila mtux2
1. Bwana asema mimi ndimi chakula cha uzima, yeye ajaye kwangu, hataona njaa kabisa