Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 17 Mwaka C
SIKU ILE NILIYOKUITA
Siku ile niliyokuita, (uliniitikia, ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu)x2
1. Nitakushukuru kwa moyo wangu wote / mbele ya miungu nitakuimbia zaburi/
Nitasujudu nikilikabili hekalu lako Takatifu