Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 1
Download Nota Download MidiAMEZAIWA MASIHA
Amezaliwa Masiha amezaliwa Mwokozi amezaliwa Betrehemu twende tukamuone
Twendeni, twende twendeni, twende twende na zawadi tukampe Mtotox2
1. Ulichonacho amka twende tukampe Mtoto; Tuunganishe zawadi zetu tukampe Mtoto