Ingia / Jisajili

Ondoka Ee Yerusalemu

Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

ONDOKA EE YERUSALEMU

Ondoka Ee Yerusalemu usimame juu, tazama uione (furaha inayokujia, kutoka, kwa Mungu wako)x2

1. Sikilizeni sauti ya mtu aliaye nyikani, itengenezeni njia ya Bwana


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa