Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana | Mwanzo
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 6
Download Nota Download MidiAmepaa, amepaa Yesu, Amepaa Yesu juu mbinguni kwenda kutuandalia makao x2
1. Enyi watu wa Galile mwashangaa nini, mlivyomwona akienda juu mbinguni ndivyo atarudi