Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Pasaka
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 15
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka C
KAMA WATOTO WACHANGA
Kam watoto wachanga, waliozaliwa sasa, yatamanini maziwa ya akili, yasiyoghushiwa x2
Ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu, Aleluya x2
1. Basi wekeni mbali, uovu wote na hila mbaya