Ingia / Jisajili

Bwana Ameniambia

Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 8

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

BWANA AMENIAMBIA

Bwana Bwana ameniambia mimi wewe mwanangu leo nimekuzaa x2

1. Tufurahiwe sote, katika Bwana, Mwokozi wetu, amezaliwa


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa