Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiEE MUNGU UNIOKOE
Ee Mungu uniokoe, ee Bwana unisaidie hima, (ndiwe msaada wangu na Mwokozi wangu, Ee Bwana usikawie)x2
1. Waaibike wafedheheke, wanaoitafuta nafsi yangu