Ingia / Jisajili

Bwana Asema

Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 33 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

BWANA ASEMA

Bwana asema, (mawazo ninayowawazia ninyi, ni mawazo ya amani, wala si ya mabaya) x2 (Nanyi mtaniita nami nitawasikiliza, nami nitawarudisha kutoka mahali pote, watu wenu waliofungwa)x2

1. Nami nitawakusanya toka kati, ya mataifa


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa