Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 3 Mwaka C
PAZA SAUTI
Paza sauti, piga kelele maana Mtakatifu wa Israeli, ni mkuu kati yako x2
1. Maana Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu, naye amekuwa wokovu wangu/
Basi kwa furaha mtateka maji, katika visima vya wokovu