Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Juma Kuu
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 6 | Umetazamwa mara 16
Download Nota Download MidiAMRI MPYA NAWAPA
Amri mpya nawapa mpendane x2 Kama vile nilivyowapenda ninyi, asema Bwana x2
1. Ndipo watajua ya kwamba, ninyi ni wanafunzi wangu