Mtunzi: Eng. Joseph Silvester
> Mfahamu Zaidi Eng. Joseph Silvester
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng. Joseph Silvester
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Eng. Joseph Silvester
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiTwende wote leo tukatoe sadaka tukampe Bwana Mungu wetu kwakuwa ni mwema.
Kwani hata mali zetu, yeye ametupa hivyo tumshukuru kwakuwa ni mwema.
Hata fedha namifugo pia namazao yetu Mungu katupa tumshukuru.
1. Ndugu Mkristo wa Mungu, kwanjia yakutoa tunabarikiwa naye Mungu.
2. Hima nduu twende sasa tukatoe sadaka tukamtolee Mungu Baba
3. Tunapotoa sadaka iliyo takasika tunapata heri maishani