Mtunzi: Eng. Joseph Silvester
> Mfahamu Zaidi Eng. Joseph Silvester
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng. Joseph Silvester
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Eng. Joseph Silvester
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiTupeleke vipaji tukampe Bwana Mungu wetu hakika Mungu atavipokea.
Twendeni kwa pamoja na moyo wa shukrani, ndugu tumpe Mungu kazi ya mikono .
Mkate na divai, mazao yashambani na fedha za mfukoni, tukampe Bwana (kwani)
Tukimtolea kwa unyofu wa moyo hakika Bwana Mungu atatubariki.
1. Hebu tafakari ni mema mangapi Mungu amekutendea haya ndugu simama twende mbele za Bwana ukamtolee Bwana Mungu wako ulichojaliwa.
2. Baba wa Imani alimtolea Mungu mwanawe Isaka, mwanawe wa pekee tena wa uzeeni Mungu aliona imani thabiti akambariki.