Mtunzi: Faustin Komba
> Mfahamu Zaidi Faustin Komba
> Tazama Nyimbo nyingine za Faustin Komba
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito
Umepakiwa na: Faustin Komba
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiNimetumwa ulimwenguni kuhubiri habari njema. Shambani mwa Bwana mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache.
1. Ninakwenda kwa mataifa kuhubiri habari njema, kuhubiri habari njema
2.Naahidi kutimiza viapo nilivyoahidi kuhubri................
3. Nakuomba Ee Mungu wangu unifanye chombo chema kuhubiri..................