Ingia / Jisajili

Maisha Nikuvumiliana

Mtunzi: Faustin Komba
> Mfahamu Zaidi Faustin Komba
> Tazama Nyimbo nyingine za Faustin Komba

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Ndoa

Umepakiwa na: Faustin Komba

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ishini kwa upendo mkivumiliana huo ndiyo msingi wa maisha yenu

ngumi, vichwa na hayo mateke hayo yafukuza upendo ndani yenu

1. Ishini kwa upendo amani na furaha msifu msifu Mungu wenu.

2. Mwombeni Mungu wenu awaimarishe, mwombeni mwombeni awaimarishe

3.Nyumba nyumba yenu na iwe ya sala, salini salini awasaidie


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa