Mtunzi: Eng.Richard Samson
> Mfahamu Zaidi Eng.Richard Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng.Richard Samson
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Richard Samson
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 20 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 20 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 20 Mwaka C
Bwana asema mimi ndimi chakula chenye uzima, kilichoshuka kutoka Mbinguni, mtu akila chakula hiki ataishi milele x2.
1. Bwana asema aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu.
2. Bwana asema mimi ndio mkate wa uzima, kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.