Ingia / Jisajili

Mimi Ndimi Chakula Cha Uzima

Mtunzi: Eng.Richard Samson
> Mfahamu Zaidi Eng.Richard Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng.Richard Samson

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Richard Samson

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 18 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 18 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 18 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Yn 6:35

Bwana asema, Mimi ndimi chakula cha uzima; yeye ajaye kwangu hataona njaa kabisa, naye aniaminiye hataona kiu kamwe x2.

1. Mimi ndimi chakula chenye uzima, chakula chenye uzima; kilichoshuka kutoka Mbinguni asema Bwana.

2. Mtu akila chakula hiki ataishi milele; nami nitakaa ndani yake, ndani yake siku zote.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa