Ingia / Jisajili

Heri Wapatanishi

Mtunzi: Eng.Richard Samson
> Mfahamu Zaidi Eng.Richard Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng.Richard Samson

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Shiivah Ric

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 22 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 22 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 22 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

[Heri wapatanishi wapatanishi, maana hao, wataitwa wana wa Mungu; Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki, maana ufalme wa Mbinguni ni wao] x2.

1. Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.

2. Heri wenye huzuni; Maana hao watafarijika.

3. Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.

4. Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa.

5. Heri wenye rehema; Maana hao watapata rehema.

6. Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa