Mtunzi: Eng.Richard Samson
> Mfahamu Zaidi Eng.Richard Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng.Richard Samson
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Shiivah Ric
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 24 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 24 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 24 Mwaka C
Kikombe kile cha baraka, tukibarikicho tukibarikicho
Je, si ushirika wa damu ya Kristo? X2
01. Mkate ule tuumegao, si ushirika wa mwili wa Bwana
02. Kwa kuwa mkate ni mmoja, sisi tulio wengi tu mwili mmoja.