Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 15 | Umetazamwa mara 20
Download Nota Download MidiAMKENI TWENDE
Amkeni twende kwa Mungu wetu tukatoe sadaka, amkeni twende kwa Mungu wetu tukaseme asante
Tukamshukuru kwa mema mengi, pia tumuombe mengine mengi, amkeni twende x2
1. Tukamuombe azidumishe ajira - amkeni twende, Tukamuombe faida za biashara - amkeni twende