Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiWAAMINI TWENDE
Waamini twende, tupeleke zawadi zetu kwake Mungu wetu, muumba wetu
Tukumbuke kwamba, wiki nzima ametuweka kwa mapenzi yake, tumshukuru
(Inuka Baba, nawe mama, nawe kijana, twende wote, mbele zake Mungu wetu, tumshukuru)x2
1. Magonjwa ameepusha, wiki nzima nenda kamshukuru Mungu wako