Ingia / Jisajili

Hubirini Kwa Sauti

Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 6

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

HUBIRINI KWA SAUTI

Hubirini, hubirini, hubirini kwa sauti ya kuimba, tangazeni haya, tangazeni, (yatangazeni yatamkeni haya,

mpaka mwisho, wa dunia, hubirini nyote) x2

1. Semeni Bwana, amelikomboa, taifa lake Aleluya


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa