Ingia / Jisajili

Watu Na Wakushukuru

Mtunzi: EVARIST CHUWA
> Mfahamu Zaidi EVARIST CHUWA
> Tazama Nyimbo nyingine za EVARIST CHUWA

Makundi Nyimbo: Anthem | Shukrani

Umepakiwa na: Evarist Chuwa

Umepakuliwa mara 15 | Umetazamwa mara 13

Download Nota
Maneno ya wimbo

Watu na wakushukuru Ee Mungu wetu, watu na wakushukuru Ee Mungu. X2 Sifa na utukufu ni vyako watu, watu na wakushukuru Ee Mungu, Umetukuka juu ya vyote bwana watu na wakushukuru Ee Mungu x2

1. Ee Mungu pokea Sifa enzi utukufu, heshima shukrani za moyo wangu

2. Umetukuka mbinguni na duniani, hakika wewe ndiwe mungu wa vyote

3. Mungu wa Baraka mpole mwema nyenyekevu, neema na rehema watujazia


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa