Ingia / Jisajili

Fahari Kwa Msalaba

Mtunzi: EVARIST CHUWA
> Mfahamu Zaidi EVARIST CHUWA
> Tazama Nyimbo nyingine za EVARIST CHUWA

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Mwanzo

Umepakiwa na: Evarist Chuwa

Umepakuliwa mara 6 | Umetazamwa mara 14

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Alhamisi Kuu

Download Nota
Maneno ya wimbo

                                       EVARIST CHUWA

Sisi lakini inatupasa kuona Fahari Kwa Msalaba wa bwana yesu kristo

1 a. Yeye ndiye wokovu, uzima na ufufuo

b.Nasi tumeokolewa na kusalimishwa naye.

2.a. Nao walio wake,  wamesulibisha mwili,

b. Pamoja na mawazo, na tamaa zake mbaya



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa