Mtunzi: Steven kiteve
> Mfahamu Zaidi Steven kiteve
> Tazama Nyimbo nyingine za Steven kiteve
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Steven Kiteve
Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 15
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 30 Mwaka C
Ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana. Mtakeni Bwana na nguvu zake, utafuteni uso wake siku zote.