Ingia / Jisajili

Kondoo Wangu

Mtunzi: Steven kiteve
> Mfahamu Zaidi Steven kiteve
> Tazama Nyimbo nyingine za Steven kiteve

Makundi Nyimbo: Pasaka | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Steven Kiteve

Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 1

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kondoo wangu waisikia sauti yangu. Nami nawajua nao wanifuata asema Bwana.

1. Nami nitawapa uzima wa milele, wala hawatapotea kamwe, wala hakuna mtu atakaye wapokonya, katika mkono wangu.

2. Baba yangu alionipa hao ni mkuu, wala hakuna mtu yeyote, awezaye kuwapokonya katika mkono, mkono wa Baba yangu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa