Ingia / Jisajili

Roho Wa Bwana

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Miito | Pentekoste

Umepakiwa na: EXAVERY NGONYANI

Umepakuliwa mara 2,590 | Umetazamwa mara 7,970

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Roho wa Bwana yu juu yangu, kwa maana amenitia mafuta, amenitia mafuta kuwahubiri maskini, kuhubiri maskini habari njema x 2

  1. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao.

  2. Amenituma kuwafariji, wale wote waliao.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa