Ingia / Jisajili

Kwa Ajili Yetu Mtoto Amezaliwa

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 5,285 | Umetazamwa mara 11,797

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kwa ajili yetu mtoto amezaliwa amezaliwa, mtoto mwanaume mwenye uweza wa kifalme x 2

  1. Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto mwanaume mwenye uweza.

  2. Na yeye ataitwa mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu pia mfalme wa amani.

  3. Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu kama mwanzo na sasa na siku zote milele amina.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa