Mtunzi: Shimbo Pastory, C.S.Sp.
> Mfahamu Zaidi Shimbo Pastory, C.S.Sp.
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari | Kwaresma
Umepakiwa na: Shimbo Pastory
Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 17
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 14 Mwaka A
NJOONI KWANGU (Mt. 11:28-30)
Kiitikio: Njooni kwangu mpumzike nyote mliolemewa mizigo, njooni kwangu mpumzike. x 2.
Mashairi:
1. Wenye huzuni na wenye sikitiko njooni kwangu mfarijike.
2. Imani yetu inaposongwasongwa tukumbuke atualika.
3. Tupate kwako kitulizo cha roho kama ulivyotuahidi.