Ingia / Jisajili

Shimbo Pastory, C.S.Sp.

Mfahamu Shimbo Pastory, C.S.Sp., mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Mbeya Parokia ya Parokia Teule ya Mt. Clara, Ituha

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 2 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Mbeya

Parokia anayofanya utume: Parokia Teule ya Mt. Clara, Ituha

Namba ya simu: +639951661979

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Shimbo Pastory, C.S.Sp. ni frateri wa Shirika la Roho Mtakatifu (Spiritans), kutoka Parokia Teule ya Mt. Clara, Ituha. Kwa sasa anasome Theolojia huko Loyola School of Theology, Chuo Kikuu cha Ateneo de Manila, nchini Ufilipino.