Ingia / Jisajili

Njoo Roho Mtakatifu

Mtunzi: Noelle Hulk
> Mfahamu Zaidi Noelle Hulk
> Tazama Nyimbo nyingine za Noelle Hulk

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: Noelle Hulk

Umepakuliwa mara 18 | Umetazamwa mara 51

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Njoo roho mtakatifu, wako shusha mapaji

roho wa Mungu njoo kwetu njoo (wa Mungu)X2.

1.Hekima nijalie, unipe akili Mungu nipe imani unipe nguvu.

2.Nieneze shauri, niwe mvumilivu njia nzuri nishike nione mwanga.

3.Elimu nijazie ibada niwashie uchaji nijalie roho wa Mungu.



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa