Mtunzi: Noelle Hulk
> Mfahamu Zaidi Noelle Hulk
> Tazama Nyimbo nyingine za Noelle Hulk
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Noelle Hulk
Umepakuliwa mara 37 | Umetazamwa mara 39
Download Nota Download MidiPOKEA SADAKA
(Pokea sadaka, mikononi mwako, kama ile ya Abeli mtumishi wako, ikupendeze itufae maishani)*2
1. Malimbuko yetu (ya wanadamu), ya juhudi zetu (za wanadamu) Tunakutolea nasi itufae maishani.
2. Mkate divai, (twakutolea) tunda la mzabibu, (twakutolea) tunakutolea...
3. Ni ya jasho letu, ( la wanadamu) umetujalia (sisi wanao) tunakutolea...