Ingia / Jisajili

Nitakutafuta Mapema

Mtunzi: Francis S Danga
> Mfahamu Zaidi Francis S Danga

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Fadhili Komba

Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 30

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Mungu, Mungu wangu nitakutafuta mapema, Nafsi yangu, nafsi yangu inakuonea kiu.

Nao mwili wangu unakuonea shauku, mwili wangu ee Mungu wangu unakuonea shauku


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa