Mtunzi: Faustini F.Mganuka
> Mfahamu Zaidi Faustini F.Mganuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Faustini F.Mganuka
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwaka Mpya | Shukrani
Umepakiwa na: Faustini Mganuka
Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 8
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Ninakushukuru Bwana Mungu wangu (Mungu wangu) kwa yote uliyonijalia Mimi.
Nimeona wema wako na utukufu wako, nakurudishia sofa zako Mungu mwenye nguvu.
SHAIRI
1. Japo Mimi ni mdhambi Bwana wanijalia afya, Hilo ni fumbo kuu la nifanya nikusifu Daima
2. Wanijalia riziki kila nifanyapo juhudi, hata ninapokosa sitaacha kukutumainia
3. Unanisamehe dhambi Bwana kila ninapokukosea ninapata kitubio ili nipatanishwe na wewe