Ingia / Jisajili

Bali Mimi Nikutazame Uso Wako

Mtunzi: Faustini F.Mganuka
> Mfahamu Zaidi Faustini F.Mganuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Faustini F.Mganuka

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Faustini Mganuka

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 15 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 15 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 15 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiikio

Bali Mimi nikutazame uso wako kakika haki niamkapo nishibishwe Kwa sura yako x2

Shairi

1.Ee Bwana usikie haki usikilize kilio changu, utege sikio lako kwa maombi yangu

2. Nyayo zangu zimeshikana na njia zako Ee Bwana wangu, hakika hatua zangu hazikuondoshwa


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa