Ingia / Jisajili

Nakuja Na Zawadi Mkononi

Mtunzi: Elgious Xavery Mwanisawa
> Mfahamu Zaidi Elgious Xavery Mwanisawa

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Elgious Xavery Mwanisawa Mwanisawa

Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 6

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NAKUJA NA ZAWADI MKONONI

 

Elgious X. Mwanisawa (Mwaniex)

04 May 2025

 

Nakuja mbele yako Baba nipokee.  Nakuja na zawadi mkononi x2.  Ninaomba baraka, nibariki mimi, nipate tena na ya ziada x2.

 

1.     Nakushukuru juma zima, ulinibariki Ee Mungu wangu;

       Naleta kwako ninaomba uikubali na uibariki.

 

2.    Uipokee kama vile, ya Abrahamu nayo ya Abeli;

       Tazama mimi bila wewe, siwezi kuwa na kitu chochote.

 

3.    Nimiminie na neema, na kazi zangu uzipe baraka;

Nipe na nguvu ya- mwili, nifanye kazi ulivyoagiza.      


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa